Friday, May 6, 2016

MAFUNZO YA UZALISHAJI WA UYOGA.

MAMALAND MUSHROOM FARM  

Tunakuletea 

MAFUNZO YA UZALISHAJI WA UYOGA


Kwa nini uzalishaji wa uyoga ni fursa kubwa? 

-Uzalishaji wa uyoga kibiashara ni njia rahisi kwa makundi mbali mbali ya kijamii kujipatia kipato na kuboresha maisha. 
-Uzalishaji wa uyoga hutoa fursa kwa watu wasiomiliki mashamba kuweza kufanya kilimo hata mijini kwa sababu hakihitaji uwe na shamba. 
-Pia kwa waajiriwa ni rahisi kufanya kilimo-biashara cha uyoga kwa sababu hakihitaji muda mrefu wa huduma kwa siku (masaa manne kwa wiki). 
-Hakihitaji mtaji mkubwa kama ilivozoeleka katika kilimo cha mazao mengi. 
-Hakihitaji mbolea wala dawa za kufukuza wadudu. 
-Hutoa fursa za ajira kwa vijana,vikundi vya kimaendeleo na wakina mama.
-Hurudisha faida ndani ya muda mfupi (unaanza kuvuna ndani ya siku 26 tu) na unavuna kwa miezi mitatu mbele kuanzia siku ya 26 baada ya kupanda.


MAMALAND MUSHROOM FARM tunawaletea mafunzo ya uzalishaji wa uyoga kibiashara kama njia ya kujiongezea kipato popote.
Wasiliana nasi kupitia:- 



Mamaland Mushroom Farm(2016). 
E-Mail:-Mamalandmushroomproject@gmail.com, 
Phone:+2550682757566/+255752007108. 
Twitter/Facebook/Linkedin/Google+:Mamaland mushroom farm. Blog:Mamalandmushroomproject.blogspot.com
#Mushroom_Is_Therapy.
 

Featured Post

6 Easy Steps to Grow Oyster Mushrooms-Part 1.

MAMALAND MUSHROOM FARM. 6 Easy Steps to Grow Oyster Mushrooms. Mushrooms are best grown indoors where the temperature and lig...