MBEGU BORA ZA UYOGA ZINAUZWA.
Baadhi ya sifa za mbegu tunazozalisha ni kama ifuatavyo:-
- Mbegu ni bora na salama kwa ajili ya uzalishaji wenye ufanisi.
- Upakiaji salama katika chupa zisizosumbua wakati wa upandikizaji wa uyoga.
- Chupa zenye ujazo sahihi kwa wazalishaji (300 mls) iwezayo kupandikiza mifuko zaidi ya minne.
- Usafirishaji wenye kuaminika mpaka ulipo.
- Bei inayomuweza mzalishaji mdogo kunufaika.
Mamaland Mushroom Farm(2015).
E-Mail:-Mamalandmushroomproject@gmail.com,
Phone:+2550682757566/+255752007108.
Twitter/Facebook/Linkedin/Google+:Mamaland mushroom farm.
Blog:Mamalandmushroomproject.blogspot.com
#Mushroom_Is_Therapy.