Wednesday, August 17, 2016

MAFUNZO YA KILIMO HAI CHA UYOGA KARAGWE MKOANI KAGERA.

MAFUNZO YA KILIMO HAI CHA UYOGA KARAGWE MKOANI KAGERA.






MAMALAND MUSHROOM FARMS wakishirikiana na FADECO COMMUNITY RADIO ya Karagwe mkoani Kagera, wanawaletea fursa mbalimbali zitokanazo na KILIMO HAI CHA UYOGA KIBIASHARA kwa wakazi wa karagwe na maeneo jirani.
UYOGA ni kati ya mazao yenye faida kubwa kiuchumi na kiafya pia. Baadhi ya faida za UYOGA kiuchumi na kiafya ni kama zifuatazo:

  •  Kiasi kidogo sana cha fedha za uwekezaji kinahitajika,
  •  Fedha iliyowekezwa inaweza kurudi ndani ya muda mfupi sana,
  •  Masaa machache yanahitajika katika kilimo cha Uyoga,
  •  Hurudisha faida kwa muda mfupi kuliko mazao mengine (mavuno ni ndani ya siku 26),
  •  Mkulima huendelea kuvuna kwa miezi mitatu hadi mitano,
  •  Haihitaji mtaji mkubwa, huchukua nafasi ndogo ya kuzalishia/kulima,
  •  Haigharimu muda wa kuhudumia shamba, wastani wa masaa 4 kwa wiki,
  • Haihitaji mbolea wala madawa ya kufukuza wadudu,

Faida za Kiafya ni kama ifuatavyo:

  •  Hupunguza kiwango cha rehemu mwilini,
  •  Huzuia saratani za aina mbalimbali,
  •  Huboresha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa,
  •  Ni chanzo cha madini ya chuma na zinki,
  •  Husaidia kupunguza uzito wa mwili,
  •  Chanzo kizuri cha Vitamini D,
  •  Haina mafuta yaletayo maradhi ya moyo.




KWA MAFUNZO YA KILIMO HAI CHA UYOGA, MBEGU ZA UYOGA [ KWA GHARAMA NAFUU] NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA BIASHARA wasiliana nasi kupitia:-
Mamaland Mushroom Farm(2015).
E-Mail:-Mamalandmushroomproject@gmail.com,
Phone:+255682757566.
Twitter/Facebook/Linkedin/Google+:Mamaland mushroom farm. Blog:Mamalandmushroomproject.blogspot.com

-Fight Back Against Malnutrition,Save Lives. Mushroom is Therapy.  
#Mushroom_Is_Therapy.

Featured Post

6 Easy Steps to Grow Oyster Mushrooms-Part 1.

MAMALAND MUSHROOM FARM. 6 Easy Steps to Grow Oyster Mushrooms. Mushrooms are best grown indoors where the temperature and lig...