Friday, August 12, 2016

MAHOJIANO YA MOJA KWA MOJA KATIKA REDIO.

MAHOJIANO YA MOJA KWA MOJA KATIKA REDIO.

Leo tulikuwa na mahojiano ya moja kwa moja na FADECO Community Radio ya Karagwe mkoani Kagera.Tumechambua kwa upana kuhusiana na yahusikayo katika uzalishaji wa uyoga kama ajira na njia mbadala ya kujiongezea kipato,kupunguza utapia mlo utokanao na ukosefu wa protini na kupambana umaskini.Asanteni kwa kutambua jitihada zetu za kuelimisha umma juu ya mapambano dhidi ya lishe duni ambayo ni mwiba mkali kwa taifa letu kwa sasa.Tanzania ni nchi ya tatu kwa udumavu chini ya jangwa la Sahara unaosababishwa na utapiamlo utokanao na ukosefu wa protini na nguvu (Protein-Energy Malnutrition) nyuma ya Ethiopia na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.Shukrani kwa FADECO RADIO (100.8 FM),watangazaji Jorida Faustine na Joseph Sekiku pamoja na wasikilizaji wote waliopata nafasi ya kutusikia.Asanteni.

Mamaland Mushroom Farm(2015).
E-Mail:-Mamalandmushroomproject@gmail.com,
Phone:+2550682757566.
Twitter/Facebook/Linkedin/Google+:Mamaland mushroom farm. Blog:Mamalandmushroomproject.blogspot.com

-Fight Back Against Malnutrition,Save Lives. Mushroom is Therapy. ‪#‎Mushroom_Is_Therapy‬.

Featured Post

6 Easy Steps to Grow Oyster Mushrooms-Part 1.

MAMALAND MUSHROOM FARM. 6 Easy Steps to Grow Oyster Mushrooms. Mushrooms are best grown indoors where the temperature and lig...