Monday, August 8, 2016

FURSA NA MAFUNZO YA KILIMO HAI CHA UYOGA KIBIASHARA NA MBEGU ZAKE KWA GHARAMA NAFUU.

FURSA NA MAFUNZO YA KILIMO HAI CHA UYOGA KIBIASHARA NA MBEGU ZAKE KWA GHARAMA NAFUU.



Taasisi ya CHIPUA na MAMALAND MUSHROOM FARMS kwa kushirikiana na CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI – MWANZA, wanawaletea fursa mbalimbali zitokanazo na KILIMO HAI CHA UYOGA KIBIASHARA.
UYOGA ni kati ya mazao yenye faida kubwa kiuchumi na kiafya pia. Baadhi ya faida za UYOGA kiuchumi na kiafya ni kama zifuatazo:
¨ Kiasi kidogo sana cha fedha za uwekezaji kinahitajika
¨ Fedha iliyowekezwa inaweza kurudi ndani ya muda mfupi sana
¨ Masaa machache yanahitajika katika kilimo cha Uyoga
¨ Hurudisha faida kwa muda mfupi kuliko mazao mengine (mavuno ni ndani ya siku 26)
¨ Mkulima huendelea kuvuna kwa miezi mitatu hadi mitano.
¨ Haihitaji mtaji mkubwa, huchukua nafasi ndogo ya kuzalishia/kulima
¨ Haigharimu muda wa kuhudumia shamba, wastani wa masaa 4 kwa wiki
¨ Haihitaji mbolea wala madawa ya kufukuza wadudu.

Mamaland Mushroom Farm(2015).
E-Mail:-Mamalandmushroomproject@gmail.com,
Phone:+2550682757566.
Twitter/Facebook/Linkedin/Google+:Mamaland mushroom farm. Blog:Mamalandmushroomproject.blogspot.com

-Fight Back Against Malnutrition,Save Lives. Mushroom is Therapy. ‪#‎Mushroom_Is_Therapy‬.

Fight Back Against Malnutrition,Save Lives. Mushroom is Therapy. #Mushroom_Is_Therapy.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

6 Easy Steps to Grow Oyster Mushrooms-Part 1.

MAMALAND MUSHROOM FARM. 6 Easy Steps to Grow Oyster Mushrooms. Mushrooms are best grown indoors where the temperature and lig...